Tutakuangazia Duniani kote, tukikupa habari, maoni, na mitazamo mbalimbali ju ya maswala ya maisha yetu ya kila siku kama Familia, Mahusiano, Elimu, Teknolojia,Michezo, sanaa, ubunifu, mavazi na mitindo Mafanikio, lengo letu ni kuelimisha, kuburudisha na kufundisha.
…
continue reading
Podcast mahususi kujifunza mambo ya maendeleo binafsi (Personal development/Self-improvement), maisha, mahusiano, saikolojia na elimu ya fedha. Ni podcast ya kipekee ambayo utajifunza mambo mengi ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ya kila siku, kila kitu kinachozungumzwa hapa kina uhalisia na siyo nadharia ya kusadikika. Kuwa sehemu ya familia hii na uhakika hautakuwa kama ulivyokuwa mwanzo, podcast ambayo itaboresha na kuongeza thamani ya maisha yako mara 10X au zaidi. Hakikisha unafollow ...
…
continue reading
Jifunze nyenzo ya sayansi ya mapishi. Utapata Elimu ya magonjwa yasiyo ambukiza,Elimu ya magonjwa ya homoni,elimu ya lishe,kanuni za mapishi na Kanuni za Kula ulichopika. Kiujumla utajitibia Magonjwa ya lishe na Homoni kwa kutumia Chakula unachopika wewe mwenyewe jikoni.
…
continue reading
Karibu NA UWE WA KWANZA KUNUFAIKA NA HABARI,MAKALA NA SIMULIZI MBALIMBALI ZINAZOWAHUSU VIJANA KATIKA NYANJA ZA KIUCHUMI,SIASA,BURUDANI NA PIA UTAPATA ELIMU MBALIMBALI. Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/evarist-m-justin/support
…
continue reading
Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi! Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza kipindi cha Naweza | Radio Free Afrika kila Jumamosi saa 11 jioni | Radio TBC Taifa kila Jumapili saa 11:30 jioni | Radio One kila Jumamosi saa 2:15 usiku Kipindi cha Naweza Show kinaletwa kwenu na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma (HPS)
…
continue reading
Daily Swahili radio programs from Adventist World Radio - Karibu katika matangazo ya kiswahili ya Redio ya Waadventista Ulimwenguni
…
continue reading
The Inside Syracuse Basketball podcast will see a host of guests from former SU players such as Derrick Coleman and Leo Rautins to basketball experts like Jay Bilas and Dick Vitale to tell stories and discuss the game of basketball as it relates to Syracuse, the ACC and beyond. Host Mike Waters has been covering Syracuse University basketball for over 30 years.
…
continue reading
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
…
continue reading
1
DRC : Haki ya wanawake kupata elimu
10:06
10:06
เล่นในภายหลัง
เล่นในภายหลัง
ลิสต์
ถูกใจ
ที่ถูกใจแล้ว
10:06
Nchini DRC, kumeripotiwa upungufu wa watoto wa kike katika kupata elimu, hili likidaiwa kuchangiwa na tamaduni zilizopitwa na wakati. Katika makala haya basi Butua Balingane, mkurugezi wa chuo kikuu cha walimu cha ISP, Goma ambaye anasimulia masaibu anayopitia mtoto wa kike nchini DRC kupata elimu. Skiza makala haya kufahamu mengi zaidi.…
…
continue reading
1
Inside Syracuse Basketball: Eric Devendorf analyzes the Orange's performance in its season opener
32:04
32:04
เล่นในภายหลัง
เล่นในภายหลัง
ลิสต์
ถูกใจ
ที่ถูกใจแล้ว
32:04
Eric Devendorf joins Mike Waters to breakdown the Orange's performance in its season opener vs. Le Moyne. Learn more about your ad choices. Visit megaphone.fm/adchoicesโดย Syracuse.com
…
continue reading
Nchini Kenya, idara ya polisi imekiri kwamba wanawake 97 wameuawa kwa kipindi cha miezi 3, baadhi miili yao ikipatikana imenyofolewa. Ni visa ambayo vimesababisa viongozi wa ngazi ya juu akiwemo rais William Ruto, ambaye ametoa agizo wa asasi za uchunguzi nchini humo kuwasaka na kuwachukulia hatua wale wote ambao wamehusika katika visa hivyo. Kweny…
…
continue reading
Kumsifu Bwana kwa njia ya nyimbo, Roho mtakatifuโดย Adventist World Radio
…
continue reading
Nchini Kenya, visa vya raia kutekwa na kisha baadaye kuachiliwa au kupatikana wameuawa vinazidi kuongezeka, visa kadhaa vikiendelea kugonga vichwa vya habari. Katika Makala haya George Ajowi angaazia visa hivi na jinsi mkuu wa polisi nchini Kenya alikosa kufika mahakamani kueleza walipokuwa baadhi ya wakenya waliotekwa.…
…
continue reading
Maisha na Ufufuoโดย Adventist World Radio
…
continue reading
1
Hatua zilizopigwa katika kumuinua mtoto wa kike
10:15
10:15
เล่นในภายหลัง
เล่นในภายหลัง
ลิสต์
ถูกใจ
ที่ถูกใจแล้ว
10:15
Katika muendelezo wa makala kuhusu siku ya mtoto wa kike duniani, tunaangazia vyanzo vya visa vya unyanyasaji wa watoto wa kike na hatua zilizopigwa na mashirika mbalimbali katika kuifanya sauti ya mtoto wa kike kusikika.โดย RFI Kiswahili
…
continue reading
Maswali ya Bibliaโดย Adventist World Radio
…
continue reading
Afya, Ushuhudaโดย Adventist World Radio
…
continue reading
Nini hasa maana ya Ndoaโดย Adventist World Radio
…
continue reading
Kijana na Maishaโดย Adventist World Radio
…
continue reading
Elimu ya kujitambua kwa watotoโดย Adventist World Radio
…
continue reading
Mtukuze Bwana kwa njia ya Nyimbo, Maombiโดย Adventist World Radio
…
continue reading
Siku ya Mtoto wa Kike Duniani, inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 11 Oktoba, ni fursa ya kuangazia changamoto zinazokabili watoto wa kike duniani na kukuza usawa wa kijinsia. Katika mwaka 2024, mada ilikuwa "Kutoa sauti kwa watoto wa kike: Fursa na Changamoto katika Utu wa Kike." Makala haya yataangazia kwa kina haki za mtoto wa kike na hatua zilizo…
…
continue reading
Chakula ni muhimu kwa maisha, kuishi, heshima, ustawi, na maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa watu binafsi, jamii, na mataifa. Sheria za kimataifa zinatambua haki ya kila mtu kupata chakula cha kutosha na haki ya kuwa huru kutokana na njaa. Haki hii ni ya msingi kwa utekelezaji wa haki zote za binadamu. Nchini Kenya, ni haki ya kikatiba, iliyoko k…
…
continue reading
Ndoa na Maishaโดย Adventist World Radio
…
continue reading
Uamini baraka za Bwana, Unachopaswa kufanya unapopitia shidaโดย Adventist World Radio
…
continue reading
Ujumbe wa Mbinguniโดย Adventist World Radio
…
continue reading
Visa na hadithi mbali mbali za watoto kutoka katika Bibliaโดย Adventist World Radio
…
continue reading
Kumtukuza Mungu kwa njia ya Nyimbo, Maneno ya farajaโดย Adventist World Radio
…
continue reading
Kutunza Sabatoโดย Adventist World Radio
…
continue reading
Visa mbali mbali kwa ajili ya watoto kutoka katika Bibliaโดย Adventist World Radio
…
continue reading
Kumtukuza Mungu kupitia Nyimbo za Kristo kitabunui, Ukanda wa faraja uletaโดย Adventist World Radio
…
continue reading
Sabato takatifuโดย Adventist World Radio
…
continue reading
1
Inside Syracuse Basketball: Syracuse’s ACC schedule: The sneaky good games and the resume boosters
31:12
31:12
เล่นในภายหลัง
เล่นในภายหลัง
ลิสต์
ถูกใจ
ที่ถูกใจแล้ว
31:12
Mike Waters and Donna Ditota break down Syracuse basketball's complete schedule highlighting Duke and North Carolina visiting the JMA Dome. Learn more about your ad choices. Visit megaphone.fm/adchoicesโดย Syracuse.com
…
continue reading
1
Inside Syracuse Basketball: Catching up with walk on fan favorite Elimu Nelson
36:40
36:40
เล่นในภายหลัง
เล่นในภายหลัง
ลิสต์
ถูกใจ
ที่ถูกใจแล้ว
36:40
Mike Waters welcomes Elimu Nelson to the podcast to relive walking onto the Orange, finally getting a scholarship senior year, and his acting career after Syracuse. Learn more about your ad choices. Visit megaphone.fm/adchoicesโดย Syracuse.com
…
continue reading
Vijana na mahusianoโดย Adventist World Radio
…
continue reading
Visa mbali mbali kwa ajili ya Watotoโดย Adventist World Radio
…
continue reading
Kumtukuza Mungu kwa njia ya nyimbo , Maombiโดย Adventist World Radio
…
continue reading
Katika makala haya tunaangazia ripoti ya umoja wa mataifa kusema kwamba zaidi ya wanawake wafungwa ya 260 walibakwa katika jela ya Makala nchini DRC, mapema mwezi huu wakati wa jaribio la wafungwa kutoroka jela. Ripoti hiyo imebaini kwamba kati ya wafungwa 348 katika gereza hilo la Makala, wafungwa 268, walitendewa vitendo vya unyanyasaji wa kingon…
…
continue reading
Nchini Kenya zaidi serikali inaendesha uchunguzi wa chembechembe za DNA, za wanafunzi 21 wa shule ya msingi ya Endatasha baada yao kuteketea kiasi ya kutotambulika, kabla ya miili yao kutolewa kwa familia. Miili limewaacha wazazi kwenye njia panda wasijue la kufanya, wakati huu maswali yakiendelea kuulizwa je nani wakulaumiwa baada ya mkasa huo wa …
…
continue reading