Mazin สาธารณะ
[search 0]
เพิ่มเติม
ดาวน์โหลดแอปเลย!
show episodes
 
Artwork

1
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

RFI Kiswahili

Unsubscribe
Unsubscribe
รายเดือน+
 
Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.
  continue reading
 
Artwork

1
Mazingira yetu radio

Mazingira yetu radio

Unsubscribe
Unsubscribe
รายเดือน
 
Mazingira yetu radio podcast operates under the slogan ‘’empower and inform’’ by bringing to it’s listeners educative, entertaining and informative environmental podcasts that are tailor made to suit the East African audience.
  continue reading
 
Artwork

1
The Mazin Shaikh Show

Mazin

Unsubscribe
Unsubscribe
รายวัน+
 
The Mazin Shaikh Show gives you a backstage pass to the most fascinating conversations with solo founders, entrepreneurs and thought leaders around the world. Hear inspiring stories from them, learn how to become one yourself, and be a part of an amazing community that's changing the world together. Rate this podcast if you enjoy listening. Happy listening!
  continue reading
 
Artwork

1
Yana Mazing

Yana Mazing

Unsubscribe
Unsubscribe
รายเดือน
 
Welcome to the Yana Mazing podcast, where amazing things are spoken of throughout the world. This is an every- now-and-then podcast where you can not only hear but feel the vibration of life. I am the host, Abokiyana Love. You will enjoy poetry, entrepreneurs, branding, health/healing, and many other Yana Mazing topics. Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/yana-mazing/support
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Matumizi ya kuni yanaweza kuwa na athari chanya na hasi kwa mazingira, kulingana na jinsi zinavyovunwa, kutumiwa na kusimamiwa. Leo mwandishi Christopher Karenzi kutoka Kigali, Rwanda ameangazia hatua ya kuondokana na matumizi yake lakini changamoto pia raia wanazokumbana nazo.โดย RFI Kiswahili
  continue reading
 
Mashirika kadhaa ya kilimo pamoja na serikali ya Kenya yaliwakutanisha wadau wa kilimo—wakulima, wataalamu wa mabadiliko ya tabianchi, na watunga sera—jijini Nairobi mwezi Novemba mwaka uliopita. Mkutano huo ukilenga kuweka bayana mwelekeo wa kutumia kilimo kinachokabili mabadiliko ya tabianchi yaani climate smart agriculture ili kuongeza uzalishaj…
  continue reading
 
Tunaangazia ikiwa tunaweza kuwa na mazingira tulivu bila kelele chafuzi katika maeneo tunayoishi lakini pia sehemu tunazofanya kazi. Tunaangazia ikiwa tunaweza kuwa na mazingira tulivu bila kelele chafuzi katika maeneo tunayoishi lakini pia sehemu tunazofanya kazi.โดย RFI Kiswahili
  continue reading
 
Makala haya yanazungumzia jinsi dampo la Taka la Nkumba nchini Uganda limekuwa tishio la kimazingira kwa ziwa victoria ambalo ndilo chanzo kuu cha mto Nile.Baada ya dampo la Kiteezi jijini Uganda kuporomoka Agosti 9 mwaka wa 2024 na kuwauwa watu kadhaa,serikali nchini humo ilitoa amri taka zote kutoka Kampala ielekezwe Nkumba karibu na ziwa ,hatua …
  continue reading
 
Katika miji ya pwani ya Kenya, vita dhidi ya uraibu vimepata mwelekeo mpya wa kusisimua. Kupitia miradi ya kimazingira, vijana kutoka vituo vya kuwarekebisha tabia hawajizuia tu na mihadarati, bali wanabadili jamii zao pia kupitia miradi hiyo. Mwanahabari wetu Victor Moturi alitembelea Mtopanga, Kaunti ya Mombasa, ambako vijana wamepata matumaini k…
  continue reading
 
Mkutano wa kukabiliana na uchafuzi wa plastiki ulikamilika mwanzoni mwa Disemba 2024 bila mwafaka kufikiwa, wataalam wa mazingira wakisema pendekezo la kuchakata plastiki wakati nchi nyingine zikiendelea kuzalisha sio suluhu la tatizo hilo. Kwenye makala hii leo tunaangazia athari za plastiki kwa afya na mazingira, suluhu zinazopendekezwa lakini pi…
  continue reading
 
Mkutano wa hali ya hewa COP29 ukiendelea nchini Azerbaijan, masuala yanayoibua changamoto ni ufadhili, mchakato wa kuondokana na mafuta kisukuku, athari ambazo zimekumba bara la Afrika kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, kuongezeka kwa viwango vya joto lakini pia suluhu zinazopendekezwa na wataalam wa mazingira. Kauli mbiu ya mwaka huu kwenye mku…
  continue reading
 
Pues en este episodio, hablo un poco de lo triste que es el ser humano, intentando meter su discurso aunque sea con mentiras, después de lo ocurrido en Valencia. Todo lo que cuento detrás de eso en el podcast, carece de importancia después de lo ocurrido.PUXA VALENCIA
  continue reading
 
Katika dunia ya sasa ambapo ukuaji wa teknolojia ni wa kasi ya juu, wabunifu katika jamii za pwani nchini Kenya, wamekumbatia matumizi ya teknolojia katika kupiga jeki juhudi za kupunguza taka kwenye mazingira wanayoishi.โดย RFI Kiswahili
  continue reading
 
Wanasayansi na wahifadhi wameibua hofu ya kutokomea kabisa kwa tembo aina ya "Super Tusker" ambaye pembe yake moja ina kilo takriban 45, ikiwa hatua hazitachukuliwa ili kuzuia uwindaji wao. Katika mbuga ya Amboseli inayopakana na Kenya na Tanzania, ndovu hawa wamebaki kumi pekee.โดย RFI Kiswahili
  continue reading
 
Katika maadhimisho ya wiki ya maji duniani 2024, makala haya yameangazia mradi wa WASH unaofanywa na shirika la SHOFCO mtaani Kibera, kusambaza maji safi ya matumizi kwa wakaazi wa kitongoji hicho chenye changamoto za upatikanaji wa maji safi.โดย RFI Kiswahili
  continue reading
 
Kundi la vijana la Vision Bearers la mtaani Mathare, jijini Nairobi linavyotumia taka za chupa za plastiki kuendeleza kilimo bila mchanga(Hydroponic farming)โดย RFI Kiswahili
  continue reading
 
Kwa miaka mingi taka inayotoka kwa samaki na viumbe vingine kwenye ziwa, imekuwa ikichafua mazingira na kusababisha samaki wengi kukosa hewa ya oxigeni hivyo kufariki na kusababisha hasara kubwa.Hata hivyo wenyeji sasa wengi wao vijana wameanza kutumia taka hizo kutengeza bayogesi na bidhaa zingine kama vile viatu,nguo,begi mifuko na kadhalika hivy…
  continue reading
 
Juma hili katika makala ya mazingira leo dunia yako kesho, mwandishi wetu wa Goma Benjamin kasemabe, ametuandalia ripoti ya namna mjasiriamali Irene maroy anavyogeuza taka za plastiki kuwa matofali maalum maarufu kama Cabro inayotumika kutengeneza barabara.โดย RFI Kiswahili
  continue reading
 
Las modificaciones que le hice a mi actual pc. Como fui modificando el pc con pequeños cambios hasta llegar a la configuración actual.Es el primer podcast grabado, editado y subido completamente con el PC.Os meto un enlace al video del pc, que ya os digo que la música esta muy alta, pero la bajáis. jeje.https://photos.app.goo.gl/kYtKfWPRUSGEYAMd6…
  continue reading
 
You might want to ride out and listen to this one. XYZ and ABC now I know you or your mans going to try at least defend your innocence. We will see each other in court. Listeners and Lovers my single, "Libra" will be dropping soon. Thanks for all the support. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/yana-mazing/messageSu…
  continue reading
 
This episode recalls a real, life event, which took place during a time where employees and employers are working hard to heal the wounds the job market, where many have faced months of unemployment during the global pandemic. ''To be intellectual does not require one to be alienated and oppositional''- Nancy Pearcey. The tone of this podcast is st…
  continue reading
 
Loading …

คู่มืออ้างอิงด่วน

ฟังรายการนี้ในขณะที่คุณสำรวจ
เล่น